• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Rais wa CAF, aachiwa baada ya kukamatwa kwa mahojiano nchini Ufaransa

    (GMT+08:00) 2019-06-07 08:27:08
    Shirikisho la soka duniani (FIFA). Limethibitisha kukamatwa kwa rais wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad ambaye alikuwa nchini Ufaransa kuhudhuria kikao cha mkutano mkuu wa FIFA.

    Taarifa kutoka FIFA zimeeleeza kuwa, Ahmad alishikiliwa kwa mahojiano kutokana na madai ya kuhusiana na majukumu yake kama rais wa CAF.

    Ahmad mwenye umri wa miaka 59, alichukuliwa mapema jana alfajiri na kuhojiwa na maafisa wa polisi wa Ufaransa wanaokabiliana na uhalifu wa kifedha, ufisadi na unyanyasaji, kulingana na vyombo vya habari vya Ufaransa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako