• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Neymar kuikosa Copa Amerika

    (GMT+08:00) 2019-06-07 08:28:21
    Timu ya taifa ya Brazil jana imetoa taarifa za kusikitisha kwa wapenzi wa soka na wa mshambuliaji wa timu hiyo anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa Neymar Jr, kuwa mchezaji huyo hatashiriki michuano ya Copa Amerika kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mechi ya kirafiki ya maandalizi ya michuano hiyo dhidi ya Qatar.

    Neymar alikuwa anatarajiwa kuiongoza timu ya taifa ya Brazil katika michuano hiyo ila baada ya kufanyiwa uchunguzi amebainika kuwa ameumia kwa kiwango kikubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako