• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Uwanja wa mpira wa kikapu utakaotumika katika mashindano ya ligi ya kikapu Afrika kuzinduliwa mwakani

  (GMT+08:00) 2019-06-07 08:28:39

  Ligi ya mpira wa kikapu ya Afrika (BAL) yamepangwa kutimua vumbi mwakani yatashirikisha timu 12 toka mataifa nane ya Afrika ambapo mshindi atakata tiketi ya kufuzu hatua ya awali ya michuano ya mpira wa kikapu ya dunia.

  Michuano ya ligi ya Afrika yatafanyika mjini Kigali Rwanda huku ujenzi wa uwanja mkubwa utakaotumika kwa michuano hiyo unaendelea, uwanja huo wa kisasa utakuwa na uwezo wa kubeba mashabiki 10,000 .

  Mataifa yatakayoshiriki michuano hiyo ni wenyeji Rwanda, Angola, Misri, Kenya, Morocco, Nigeria, Senegal, Afrika Kusini na Tunisia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako