• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Takwimu zinaonyesha mashambulizi mengi ya mtandao wa internet yanayoikumba China yanatoka Marekani

  (GMT+08:00) 2019-06-10 19:58:57

  Kituo cha kushughulikia na kuratibu matukio ya dharura ya mtandao wa kompyuta cha China, hivi karibuni kimetoa ripoti ya mwaka 2018 kuhusu hali ya jumla ya usalama wa mtandao wa Internet ya China. Takwimu zinaonyesha kuwa, mashambulizi mengi ya kimtandao dhidi ya China yanatoka Marekani, na mashambulizi hayo bado yanaongezeka.

  Wataalamu husika wanasema, Marekani inailaumu China kuwa ni tishio kubwa la usalama wa mtandao wa internet wa Marekani, lakini takwimu hizo zinaonyesha kuwa, Marekani ndio nchi inayofanya mashambulizi mengi zaidi ya mtandao wa Internet.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako