• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: "Hakuna kulala Misri, hatujaja kutalii" – Samatta

    (GMT+08:00) 2019-06-11 08:32:04
    Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imetua nchini Misri huku ikiahidi kuendeleza morali waliyotoka nayo katika program zao za mazoezi kujiandaa kwa mechi zijazo za kirafiki kabla ya kuanza kwa fainali za mataifa ya Afrika, Afcon 2019.

    Mara baada ya kutua nchini humo, nahodha wa timu hiyo Mbwana Samatta amesema hakuna kulala wako tayari kwa maandalizi ya mechi zijazo za kirafiki kwani zitawaweka sawa zaidi, na hwajaenda Misri kutalii licha ya kuwa ushindani wa kundi lao utakuwa mkali sana kutokana na kila timu kuwa na wachezaji wenye uzoefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako