• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Kidunda aahidi kuanza kwa kishindo

    (GMT+08:00) 2019-06-11 08:32:40
    Bondia Suleiman Kidunda wa Tanzania ameahidi kuanza vizuri atakaponda ulingoni kuzichapa pambano lake la kwanza la ngumi za kulipwa.

    Kidunda atapanda uliongoni Jumapili ijayo na Charles Misajo wa Malawi kwenye ukumbi wa Bucket jijini Dar es Salaam katika pambano la uzani wa kati.

    Hilo litakuwa pambano la kwanza kwa nahohda huyo wa timu ya taifa ya ngumi za ridhaa baada ya chama cha ngumi za ridhaa Tanzania (AIBA) kuanzisha mkakati wa ngumi za wazoefu mwaka 2016.

    Katibu mkuu wa shirikisho la ngumi za wazi nchini humo (OBFT) Lukelo Wililo amesema, Kidunda ni miongozi mwa mabondia watatu wa timu ya taifa wameombewa kujiunga na ngumi za kulipwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako