• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafungwa 38 wa Taliban waachiwa huru kutoka jela nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:33:40

    Msemaji wa mkoa wa Herat wa Afghanistan Bw. Jailani Farhad amesema, wapiganaji 38 wanaohusiana na kundi la Taliban wameachiliwa huru kutoka jela mkoani humo.

    Rais wa Afghanistan alitangaza kuachilia wafungwa 900 wiki iliyopita, ikiwa ni ishara nzuri ya kuwahamasisha wapiganaji wa Taliban kufanya mazungumzo na serikali ili kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako