• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Iraq atoa wito wa kufanya juhudi za pamoja ili kukabiliana na migogoro ya kikanda

    (GMT+08:00) 2019-06-11 09:34:39

    Rais Barham Salih wa Iraq ametoa wito wa kufanya juhudi za pamoja ili kukabiliana na migogoro ya kikanda na kuacha kauli za vitisho wakati hali ya wasiwasi inaongezeka kati ya Marekani na Iran.

    Rais Salih amesisitiza umuhimu wa ushirikiano na uratibu pamoja na mazungumzo kati ya vyama vyote ili kuunganisha jitihada za pamoja kukabiliana na migogoro kwa sasa, pia kuepukana na kauli za vitisho ili kuwawezesha watu wa sehemu hiyo kuwa na utulivu, usalama na ustawi wa uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako