• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda kufungua eneo la mpakani la Gatuna kwa siku 12

    (GMT+08:00) 2019-06-11 19:32:39

    Rwanda imesema kuwa itafungua kituo chake cha mpakani na Uganda kwa siku 12.

    Kituo hicho kimesalia kufungwa kwa zaidi ya miezi 3 kufuatia mzozo wan chi hizo jirani.

    Mamlaka ya ushuru ya Rwanda imetangaza kuwa malori sasa yataruhusiwa kuingi nchini humo kupitia eneo la mpakani la Gatuna.

    Serikali ya Rwanda imesema itaamua iwapo mpoaka huo utafungwa tena baada ya siku 12 au utaendelewa kuwa wazi kwa shughuli za kawaida za kibiashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako