• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kuelekea AFCON 2019, Waamuzi wawili wa DRC kuchezesha michuano ya AFCON

    (GMT+08:00) 2019-06-12 09:48:16

    Waamuzi wawili kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wameteuliwa kuchezesha baadhi ya mechi za kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) yanayotarajia kuanza Juni 21 nchini Misri.

    Waamuzi hao Jean Ndala mwamuzi wa kati na mwamuzi msaidizi ni Jacques Latter ambaye sasa yupo nchini Poland kwa ajili ya michuano ya kombe la dunia U-20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako