• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Baada ya Bocco kuanguka saini Simba SC, Munula afuata

    (GMT+08:00) 2019-06-12 09:48:55

    Mlinda mlango wa klabu ya Simba na timu ya taifa ya Tanzania Aishi Manula, ameongeza mkataba wake kuendelea kuichezea klabu hiyo kwa miaka miwili. Manula ni mchezaji wa pili ndani ya wiki moja kumwaga wino kuitumikia klabu hiyo.

    Mchezaji mwingine ni John Raphael Bocco ambaye naye amesaini mkataba wa kuendelea kuchezea klabu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako