• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Reli ya kasi kati ya Beijing na Zhangjiakou yatarajiwa kuzinduliwa mwishoni mwa mwaka huu

  (GMT+08:00) 2019-06-12 19:52:18

  Tarehe 12 mwezi Juni baada ya ujenzi wa zaidi siku 220, utandikaji wa njia ya reli ya kasi kati ya Beijing na Zhangjiakou umekamilika. Kumalizika ujenzi huo umeweka msingi thabiti wa majaribio na marekebisho ya reli hiyo katika mwezi Septemba mwaka huu, na kuanza usafiri mwishoni mwa mwaka huu. Baada ya kuanza safari, muda wa kusafiri kati ya Beijing na Zhangjiakou utapungua kutoka saa 3 kwa sasa hadi ndani ya saa 1.

  Habari nyingine zinasema reli ya Chongli itakayohudumia eneo la Chongli la michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya mwaka 2022 imekamilika na itaanza kutoa huduma pamoja na reli ya kasi ya Beijing na Zhangjiakou mwishoni mwa mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako