• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakwepa kodi kuandamwa

    (GMT+08:00) 2019-06-13 19:40:02
    Waziri wa fedha wa Kenya Henry Rotich amesema kuwa serikali itakaza kamba zaidi ili kuhakikisha kila mtu analipa ushuru.

    Waziri huyo amesema hayo wakati akiwasilisha bungeni bajeti ya mwaka 2019/20 ya shilingi trilioni 3.1.

    Licha ya bejeti hiyo kuwa kubwa, Rorich amesema kuna watu au biashara nyingi ambazo hukwepa kulipa uuhuru na hivyo kuisababishia serikali mwanya.

    Ushuru wa kawaida, faini za mahakma, malipo ya huduma za serikali, ruzuku na kodi za nyumba zinatarajiwa kuiletea serikali asilimia 88 ya fedha za bajeti hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako