• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Centum  yaongeza faida yake kwa asilimia 48

    (GMT+08:00) 2019-06-13 19:41:12
    Kampuni ya uwekezaji wa Centum imetangaza ongezeko la faida yake kwa asilimia 48 katika kipindi cha fedha kilichokamilika machi 2019.

    Mkurungezi mkuu wa kampuni hiyo James Mworia amesema imepata faida ya shilingi bilioni 4.12 kutokana na kuongezeka kwa mtaji wake na kupanda kwa bei za ardhi inazomiliki.

    Uwekezaji wake na mapato mengine zilikuwa kwa asilimia 72 na kufikia shilingi bilioni 9.8 kutoka bilioni 5.7 mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako