• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pigo lingine kwa Kenya, Kirwa apigwa rungu baada ya kupatikana na hatia ya kutumia dawa za kusisimua misuli

    (GMT+08:00) 2019-06-14 09:03:24

    Bingwa wa mbio za kilomita 42 za Singapore mwaka 2016, Felix Kirwa ni mwanariadha wa hivi karibuni kutoka Kenya, amefungiwa kwa miezi tisa kushiriki mashindano ya riadha kutokana na utumiaji wa dawa za kusisimua misuli iliyopigwa marufuku michezoni iitwayo Strychnine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako