• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Stars yakubali kipigo kwa wenyeji Misri

  (GMT+08:00) 2019-06-14 09:08:07

  jana, taifa stars imecheza mchezo wake wa kwanza wa kujipima nguvu tayari kwa maandalizi ya mwisho ya michuano ya AFCON dhidi ya wenyeji Misri na kukubali kipigo cha goli 1-0. Goli la Misri lilifungwa dakika ya 64 na Mohamady.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako