• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping aenzi moyo wa baba yake kuwahudumia wananchi

    (GMT+08:00) 2019-06-16 18:50:01

    Baba wa rais Xi Jinping wa China, Bw. Xi Zhongxun ametoa mfano mzuri wa kuigwa katika kuwahudumia na kuwanufaisha wananchi. Rais Xi Jinping ameenzi vizuri moyo wa baba yake na kusisitiza kuwa, majukumu ya Chama cha Kikomunisti cha China ni kuboresha maisha ya wananchi na kurejesha ustawi wa taifa la China.

    Mababu zetu wameonesha namna ya kuwanufaisha wananchi. Tunatakiwa kuenzi moyo wao na kujenga nchi yetu ipate ustawi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako