• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Nickson Kibabage asajiliwa na klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco

    (GMT+08:00) 2019-06-17 08:28:52

    Beki Nickson Kibabage aliyeng'aa na timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys, iliyoshiriki Michuano ya AFCON 2019 nchini Gabon kapata timu. Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa Kibabage baada ya kucheza Tanzania kwa miaka miwili na kucheza fainali hizo za vijana za AFCON, amesajiliwa na klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne. Nickson Kibabage anakuwa Mtanzania wa pili kujiunga na klabu hiyo ya Difaa El Jadid ya Morocco, baada ya Simon Msuva kujiunga na timu hiyo pia akitokea Yanga SC misimu miwili iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako