• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa fedha ameweka wazi jinsi walipaji kodi watachangia bajeti ya mwaka ujao wa kifedha.

    (GMT+08:00) 2019-06-17 20:13:14
    Waziri wa fedha ameweka wazi jinsi walipaji kodi watachangia bajeti ya mwaka ujao wa kifedha.

    Kwa ujumla, serikali ina mpango wa kukusanya Sh trilioni 2.1 mwaka ujao wa fedha wa 2019/20 kupitia mchanganyiko wa kodi na ada kama mapato ya ndani yaliyozalishwa.

    Kwa ujumla, idara zote zitatakiwa kuongeza mapato yao kwa angalau asilimia 15 katika mwaka ujao wa kifedha, ambayo bajeti yake kwa jumla inafika Sh trilioni 3.02.

    Mpangilio wakutengeneza mapato umeongeza shinikizo zaidi kwenye idara tofauti kuzalisha fedha zaidi kutoka kwa wavuja sheria, wale wanaotafuta vyeti vya mwenendo mzuri, visa, pasipoti, kadi za utambulisho wa kitaifa na huduma zingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako