• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KASHFA: Bosi wa zamani wa UEFA Michel Platini awekwa kizuizini kwa tuhuma za rushwa

  (GMT+08:00) 2019-06-19 08:17:58

  Rais wa zamani wa chama cha soka Ulaya UEFA Michel Platini amejikuta katika wakati mgumu kufuatia kushikiliwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa nchini Ufaransa. Platini aliondoka kwa kashfa na kujiuzulu katika nafasi yake ya Urais wa UEFA 2015 kwa tuhuma za rushwa baada ya kudumu katika nafasi hiyo kwa miaka minane toka 2007. Uchunguzi unaondelea na uliomfanya Platini akamatwe unahusiana na Qatar kupewa nafasi ya uenyeji wa Kombe la dunia 2022 maamuzi ambayo yalifanyika 2010, kitu ambacho kinahisiwa kuwa kilipitishwa kwa rusha na sio halali, hivyo Platini ni miongoni wa wanaotuhumiwa kwa rushwa katika sakata hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako