• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi wa China nchini Kenya anahimiza makampuni kuzingatia uwekezaji, sio uuzaji wa rejareja

    (GMT+08:00) 2019-06-19 19:59:34

    Balozi wa China nchini Kenya Wu Peng amesisitiza juu ya haja ya wawakilishi wa sekta binafsi kutoka nchi yake kuzingatia uwekezaji na si biashara ya rejareja.

    Balozi Wu, ambaye alikutana na wawakilishi wa sekta binafsi za Kichina katika ubalozi Nairobi, aliwakumbusha juu ya haja ya kuzingatia uwekezaji waliosajiliwa kufanya katika mashirika makubwa.

    Uhusiano kati ya Kenya na China umeongezeka katika miaka ya hivi karibuni, na uwekezaji mkubwa na msaada wa kifedha kwa ajili ya maendeleo ya miundombinu katika maeneo mbalimbali ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako