• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Twenzetu AFCON 2019: Mambo yameanza kunoga, Uganda yaanza vyema, Tanzania yajikwamua

  (GMT+08:00) 2019-06-24 09:13:39

  Baada ya wenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mafarao wa Misri kuanza kampeni zao vyema kwa kuilaza Zimbabwe bao 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano hiyo uliopigwa uwanja wa kimataifa mjini Cairo.

  Watangazaji wetu Glorie Ngahyoma, Caroline Nassoro na Ronald Mutie toka studio zetu za Nairobi hawa hapa tayari kukujuza zaidi

  Jumla ya mataifa 24 kutoka nchi mbalimbali barani Afrika zinawania taji la kikombe kimoja tu la michuano hiyo, ni mapema sana sasa kubashiri nani ataibuka bingwa, lakini usiache kuungana nasi katika habari za michezo kupata mambo mbalimbali ya michuano hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako