• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Africa: Air Tanzania kuanza safari zake kuelekea Afrika Kusini kuanzia Juni 28

    (GMT+08:00) 2019-06-24 20:19:17

    Shirika la ndege la Air Tanzania linapanga kuanza safari zake kuelekea Afrika Kusini kuanzia Juni 28.

    Uamuzi huu, unalenga kuvutia watalii kutoka Afrika Kusini na wafanyibiashara.

    Ndege za moja kwa moja kwenda na kutoka Johannesburg zitakuwa Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili.

    Bodi ya utalii ya Tanzania inafanya kazi kwa pamoja na ATCL kwa ajili y soko. Afrika Kusini yenyewe ni soko la kipekee kwa watalii 48,000 kila mwaka.

    Takwimu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa watalii 16,000 kutoka Australia walitembelea Tanzania mnamo mwaka wa 2017, kutokana na kutumia uhusiano kupitia Johannesburg. Katika mwaka huo huo, kulikuwa na wageni 3,300 kutoka New Zealand na 2,600 kutoka Pacific Rim (Fiji, Solomon, Samoa, na Papua New Guinea).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako