• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda kupokea ndege mbili zaidi aina ya Bombardier

    (GMT+08:00) 2019-06-25 18:46:44

    Wizara ya uchukuzi nchini Uganda imesema kuwa inatarajia kupokea ndege ya tatu aina ya CRJ-900 bombardier.

    Waziri wa wizara hiyo Monica Azuba amesema ndege ya nne itawasili mwezi Septemba.

    Ndege hizo mbili ni sehemu ya ndege 4 ambazo serikali ya Uganda iliagiza kutoka Canada ambako zinatengenezwa.

    Ndege za kwanza mbili zilizonunuliwa kwa gharama ya dola milioni 41 ziliwasili Aprili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako