• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda inatarajia kuuza mahindi zaidi nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2019-06-26 19:20:26

    Uganda inatarajiwa kuongeza mauzo yake ya mahindi nchini Kenya wakati nchi ya Kenya ikikabiliwa na uhaba wa magunia milioni 12.5 ya bidhaa hiyo.

    Mauzo ya nje ya Uganda yameongezeka maradufu kutokana na kusafirisha mahindi nchini Kenya.

    Kulingana na Benki ya Uganda,jumla ya mauzo ya nje ya kwenda Kenya yalifika $719m kufikia mwezi Desemba 2018 ikilinganishwa na mauzo ya $551.06m yaliyoandikishwa mwaka 2017 huku mahindi yakiongoza katika

    Licha ya kupata mavuno ya kutosha mwaka jana,Kenya ilizalisha magunia milioni 46,kutoka magunia milioni 35 yaliyozalishwa mwaka 2017,nchi ya Kenya bado ina uhaba wa mahindi kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni usiamamizi mbaya wa Bodi ya Kitaifa ya Nafaka,na Hifadhi ya Kimkakati ya Chakula.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako