• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China awasili Osaka,Japan.

    (GMT+08:00) 2019-06-27 20:08:06

    Rais Xi Jinping wa China amewasili Osaka, Japan kutokana na mwaliko wa waziri mkuu wa Japan Bw. Shizo Abe ili kuhudhuria mkutano wa 14 wa kilele wa kundi la nchi 20 (G20).

    Mkutano wa 14 wa kilele wa kundi la nchi 20 utafanyika tarehe 28 na 29 huko Osaka. Rais Xi Jinping atatoa maoni na mapendekezo kuhusu hali ya uchumi duniani na usimamizi wa uchumi wa dunia. Pia atakutana na viongozi nchi za BRICS, viongozi wa Russia na India, na viongozi wa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako