• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Michuano ya kombe la dunia kwa wanawake yaingia hatua ya robo fainali

    (GMT+08:00) 2019-06-28 08:54:17

    Michuano ya robo fainali kuwania kombe la dunia katika mchezo wa soka kwa upande wa wanawake iliendelea jana nchini Ufaransa.

    Mechi ya kwanza ilipigwa kati ya Norway na Uingereza, katika uwanja wa Oceane, Le Havre, hadi mwisho wa mchezo Uingereza imepata ushindi wa magoli 3 kwa Nunge.

    Leo Ufaransa itamenyana na Marekani, huku Italia itavaana na Uholanzi, na Ujerumani itacheza na Sweden kesho jumamosi Wawakilishi wa Afrika, Cameroon na Nigeria waliondolewa katika hatua ya 16 bora. Wawakilishi wengine wa Afrika waliondolewa katika michuano hii ni Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako