• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania yakaribisha kampuni za China kuwekeza nchini humo

  (GMT+08:00) 2019-06-29 18:49:34

  Waziri wa mambo ya nje wa Tanzania Bw. Palamagamba John Kabudi, amesema Tanzania inakaribisha kampuni za China kuwekeza nchini humo, na kushirikiana katika kutekeleza pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja".

  Bw. Kabudi alisema jana alipohudhuria maonyesho ya kwanza ya biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika mkoani Hunan, China, ambapo alipongeza maonyesho hayo kwa kutoa jukwaa muhimu kwa nchi za Afrika kuongeza maelewano na mawasiliano na China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako