Jumla ya wachezaji 28 wameshiriki michuano hiyo kutoka Zimbabwe, Kenya, Uganda na wenyeji Tanzania. Nahodha wa timu ya MM, Stephen Lukanyo akizungumza baada ya kukabidhiwa kikombe amesema mashindano ya mwaka huu yalikuwa magumu kwani kila timu ilikuwa na ushindani.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |