• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: COPA AMERICA: Brazil yaipiga Paraguay, sasa atakutana na Argentina nusu fainali

  (GMT+08:00) 2019-07-01 08:45:38
  Gabriel Jesus alipachika penalty ya ushindi huku Brazil ikifaulu kufuta mkosi kwa kuwapiga Paraguay na kutinga nusu fainali ya kombe la Copa America.

  Kipa wa Brazil, Alisson alipangua penalti ya Paraguay ya kwanza kutoka kwa Gustavo Gomez uwanjani Gremio Arena. Brazil ilionyesha dalili ya kufanya vyema kipenga cha kuanza cha mechi kilipopulizwa, ikipigiana pasi muruwa katika dakika ya nne.

  Wenyeji Brazil sasa watakutana na mahasimu wao wa jadi Argentina katika nusu fainali itakayosakatwa Julai 3 mjini Belo Horizonte.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako