• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Umoja wa Afrika kutoa heshima kwa rais wa zamani wa Zambia Kaunda kwenye mkutano wa kilele wa mwaka 2020

  (GMT+08:00) 2019-07-02 08:24:42

  Umoja wa Afrika unapanga kutoa heshima kwa rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda, kwenye mkutano wa kilele wa Umoja huo utakaofanyika mwezi Februari mwaka 2020.

  Mjumbe wa kudumu wa Zambia katika Umoja wa Afrika Bw. Emmanuel Mwamba amesema, Umoja huo unatarajiwa kulipa moja ya majengao ya Umoja huo jina la Kaunda na kuweka sanamu yake kwenye makao makuu yake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako