• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TENISI: Kipute cha Wimbledon chang'oa nanga

    (GMT+08:00) 2019-07-03 08:57:45
    Kinyang'anyiro cha Wimbledon katika mchezo wa Tennis kiling'oa nanga Jumatatu huko Uingereza. Macho yote yatakuwa kwa Muingereza Andy Murray aliyerudi kutoka kwenye jeraha lililomuweka nje kwa miezi mitano, Murray ambaye ni raia wa Scotland ana miaka 32 na anasema hatarajii mengi.

    Wakati huo huo Mjapani Naomi Osaka ambaye alikuwa mchezaji nambari moja duniani upande wa kina dada amesema akili yake kwa sasa iko huru kutokana na shinikizo la kuitetea nafasi yake kama mchezaji nambari moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako