• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi wa Houthi wa Yemen wasema wamefanya mashambulizi 26 dhidi ya viwanja vya ndege vya Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2019-07-03 09:20:21

    Waasi wa kundi la Houthi la Yemen wamesema wamefanya mashambulizi 26 dhidi ya maeneo ya kijeshi katika viwanja vya ndege vya Saudi Arabia katika miezi miwili iliyopita. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi la Houthi Yahya Sarea amesema mashambulizi 21 yalifanywa na ndege zisizo na rubani na mengine matano na makombora. Sarea ameongeza kuwa kundi hilo limetoa wito kwa raia kukaa mbali na vituo vya kijeshi vya Saudi Araibia na litaendelea na mashambulizi mpaka uvamizi dhidi ya nchi yao utakaposimamishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako