• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Safaricom kufunga maduka ili kuomboleza mkurungezi Bob Collymore

    (GMT+08:00) 2019-07-03 19:48:37

    Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom nchini Kenya imesema kuwa maduka yake yatafungwa kwa manaa 4 alhamis ili kuwapa muda wafanyakazi wake kutoa heshima zao kwa aliyekuwa mkurungezi wake Bob Collymore, aliyefariki jumatatu.

    Wakati wa kipindi hicho cha kati ya saa 10.30 hadi 2.30 kampuni hiyo itandaa hafla ya makumbusho mjini Nairobi.

    Tayari Safaricom imemteua aliyekuwa mkuu wake wa zamani Michael Joseph kuwa kaimu afisa mkuu mtendaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako