• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Bulgaria wafanya mazungumzo

    (GMT+08:00) 2019-07-03 20:45:11

    Rais Xi Jinping wa China leo hapa Beijing amefanya mazungumzo na mwenzake wa Bulgaria Rumen Georgiev Radev ambaye yuko ziarani nchini China.

    Marais wa nchi hizo mbili wamekubaliana kuinua uhusiano kati ya pande mbili katika kiwango cha uhusiano wa kimkakati na kiwenzi. Rais Xi amezungumzia maendeleo ya uhusiano kati ya China na Ulaya akisema, anataka awamu mpya ya mashirika ya Umoja wa Ulaya kudumisha utulivu na mfululizo wa sera kwa China, na kufanya juhudi pamoja na China kuhimiza ujenzi wa uhusiano wa amani, ukuaji, mageuzi na ustaarabu kati ya China na Ulaya katika msingi wa kuheshimiana, haki na usawa, na ushirikiano wa kunufaishana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako