• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Usajili wa msimu ujao wa ligi kuu Tanzania Bara, mambo yanazidi kunoga, Ajib arejea nyumbani, Yanga yamnasa kipa Mkenya

    (GMT+08:00) 2019-07-04 08:23:12
    Safari ya mtoto kuishi mbali na nyumbani imefikia ukingoni, Ibrahim Ajibu ameamua kufanya maamuzi ya kurudi nyumbani Msimbazi, na kusaini mkataba wa kuchezea klabu hiyo ya Simba kwa miaka miwili, akitokea kwa watani wao wa jadi Yanga.

    Ajib anaungana na kipa Ben Kakolanya aliyetokea Yanga na kujiunga na klabu hiyo ya Msimbazi ambao ni mabingwa wa Tanzania bara. Kwa upande wa Yanga wao, wamepata saini ya kipa Farouk Shikalo toka nchini Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako