• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: COPA AMERICA- Argentina yaikandamiza Brazil, Messi awawakia waamuzi

  (GMT+08:00) 2019-07-04 08:26:47

  Nyota wa soka Lionel Messi kwa mara nyingine ameshindwa kuipa mafanikio ti u yake ya Argentina baada ya kukubali kichapo cha goli 2-0 katika mchezo mkali wa nusu fainali za michuano ya Copa America.

  Mara baada ya mchezo huo kumalizika, Messi amewatolea uvivu waamuzi pamoja na msimamizi wa mchezo huo kwa kuwaambia walishindwa kuchezesha mchezo huo na kuwapendelea zaidi Brazil.

  Messi amesema kuwa timu yake ilikuwa bora uwanjani muda wote lakini waamuzi walifanya maamuzi ya ajabu yaliyopelekea Argentina kufungwa. Leo Chile wanakutana na Peru.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako