• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Boeing yaahidi kutoa dola milioni 100 kusaidia familia za wahanga wa ajali za ndege nchini Indonesia na Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-07-04 10:00:39

    Kampuni ya Boeing imetangaza kutoa dola za kimarekani milioni 100 ili kushughulikia mahitaji ya familia za wahanga wa ajali mbili za ndege aina ya Boeing 737 Max 8 zilizotokea nchini Indonesia na Ethiopia mwezi Oktoba mwaka jana na mwezi Machi mwaka huu. Mkuu wa Boeing Dennis Muilenburg amesema kampuni yake itashirikiana na serikali za nchi hizo na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoa pesa hizo katika miaka kadhaa ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako