• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Libya yafikiria kufunga vituo vya wakimbizi

    (GMT+08:00) 2019-07-05 09:11:21

    Waziri wa mambo ya ndani wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa Fat'hi Bashagha amesema serikali inafikiria kufunga vituo vyote vya kupokea wakimbizi haramu nchini humo kwa sababu ya usalama. Hatua hiyo inatokana na shambulizi lililotokea hivi karibuni katika kituo cha mapokezi mjini Tripoli lililosababisha vifo na majeruhi kwa watu kadhaa. Waziri huyo amesema hayo alipokutana na Maria do Valle Ribeiro, ambaye ni naibu mwakilishi maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako