• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Everton kuwasili Kenya kesho tayari kuvaana na Kariobangi Sharks

    (GMT+08:00) 2019-07-05 09:52:06
    Mabingwa mara tano wa kombe la FA, Everton watawasili jijini Nairobi kesho asubuhi kwa ziara yao ya pili katika eneo la Afrika Mashariki katika kipindi cha miaka mitatu kupimana nguvu na bingwa wa SportPesa, Kariobangi Sharks.

    Vijana wa kocha Marco Silva walitembelea eneo hili mara ya kwanza katika historia yao miaka miwili iliyopita walipovaana na Gor Mahia na kuilaza 2-1 kupitia mabao ya mshambuliaji Wayne Rooney na kiungo Kieran Dowell jijini Dar es Salaam nchini Tanzania mnamo Julai 13, 2017.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako