• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TENISI: Mashindano ya Tenisi ya Wimbledon 2019- Nadal amfunga Kyrgios, Murray na Herbert wafanya kweli, Serena aendeleza ubabe

  (GMT+08:00) 2019-07-05 09:55:31

  Michuano ya tenisi (Wimbledon 2019) imeendelea kwa Rafael Nada kupata ushindi wa seti 6-3, 3-6, 7-6 dhidi ya Nick Kyrgios.

  Naye Andy Murray amerejea vyema katika ulingo wa tenisi akiwa na mchezaji mwenzake raia wa Ufaransa Pierre Hugues Herbert wamepata ushindi wa seti 4-6, 6-1, 6-4, 6-0 dhidi ya Marius Copil na mwenzake Ugo Humbert, kwa kwa upande wa wanawake, bingwa wa tenisi Serena Williams amemshinda Kaja Juvan kwa jumla ya seti 2-6, 6-2, 6-4.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako