• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7.0 latikisa mashariki mwa Indonesia

    (GMT+08:00) 2019-07-08 08:39:00

    Shirika la jiofizikia nchini Indonesia limesema, tetemeko la ardhi lenye nguvu ya 7.0 kwenye kipimo cha Richter limetokea jana jioni kwenye mkoa wa Maluku Kaskazini ulioko mashariki mwa nchi hiyo, huku likitoa tahadhari ya tsunami mara baada ya kutokea kwa tetemeko hilo.

    Ofisa wa shirika hilo Bw. Bayu Pranata amesema, mpaka sasa hakuna ripoti za vifo, majeruhi au hasara zilizotokana na tetemeko hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako