• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha Wahafidhina kinachoongozwa na Johnson kushinda viti 40 katika uchaguzi wa Uingereza

    (GMT+08:00) 2019-07-09 08:38:45

    Hojaji iliyofanywa na kampuni ya ComRes imeonyesha kuwa, Boris Johnson anayeongoza katika mbio za kuwania nafasi ya uwaziri mkuu wa Uingereza, anaweza kushinda viti 40 katika uchaguzi.

    Hojaji hiyo iliyofanyika kwa ombi la gazeti la The Daily Telegraph la Uingereza imeonyesha kuwa, chama cha Wahafidhina chenye wabunge 345 kinaweza kushinda uchaguzi huo kama Johnson atamshinda waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Jeremy Hunt katika kura za kumchagua mrithi wa waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo, Bi. Theresa May.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako