• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Venezuela atangaza kuanzisha mazungumzo na pande za upinzani

    (GMT+08:00) 2019-07-09 19:26:44

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela jana alitangaza kuwa, ujumbe wa serikali umeanzisha mazungumzo na wapinzani huko Barbados kwa kushirikiana na serikali ya Norway.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang leo katika mkutano na waandishi wa habari, amesema China inakaribisha juhudi za jumuiya ya kimataifa ikiwemo Norway kuhimiza mazungumzo hayo, na inazitarajia pande hizo mbili za Venezuela zitafikia makubaliano halisi haraka iwezekanavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako