• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani na Russia zaandaa "Mazungumzo ya kimkakati ya pande zote" huko Helsinki

    (GMT+08:00) 2019-07-10 09:32:52

    Wawakilishi wa Marekani na Russia wamethibitisha kuwa, mkutano wa manaibu waziri wa nchi hizo mbili, David Halle wa Marekani na Sergey Ryabkov wa Russia utafanyika mjini Helsinki Jumatano.

    Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya mambo ya nje ya Marekani, lengo la mkutano huo ni kuanzisha mazungumzo ya kimkakati ya pande zote kuhusu uhusiano kati ya pande hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako