• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TENISI: Timu Murray na Williams (MURENA) wawashangaza tena watu kwenye michuano ya Wimbledon

  (GMT+08:00) 2019-07-10 10:58:33

  Andy Murray na Serena Williams aka (MURENA) wamewaacha watu tena vinywa wazi kwenye michuano ya Wimbledon baada ya kushinda mechi ya wachezaji wawili wawili. Muingereza Murray, mwenye miaka 32, na Mmarekani Williams, mwenye miaka 37, wameingia kwenye 16 bora kwa ushindi wa 7-5 6-3 dhidi ya Fabrice Martin na Raquel Atawo. Sasa watacheza na Bruno Soares ambaye ni mwenzake wa zamani kaka yake Murray, Jamie na Nicole Melichar.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako