• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuongeza hatua zaidi kutuliza biashara ya nje

    (GMT+08:00) 2019-07-11 08:39:28

    Baraza la Serikali la China limeamua kuchukua hatua zaidi ili kutuliza biashara ya nje ya nchi.

    Taarifa iliyotolewa jana baada ya mkutano wa watendaji wa Baraza hilo uliloongozwa na waziri mkuu Li Keqiang imesema, ili kutuliza biashara hiyo, ufunguo ni kufungua mlango zaidi na kujikita katika kuboresha nguvu kubwa ya viwanda kupitia mageuzi ya masoko na njia za kiuchumi.

    Taarifa hiyo imesema, China itaboresha sera zake za kodi na fedha, wakati mkutano huo ukiangalia njia za kupunguza zaidi kiwango cha kodi za jumla katika uagizaji wa bidhaa, kuboresha sera ya kupunguza kodi kwa mauzo ya nje, na kuongeza kasi ya mchakato wa punguzo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako