• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WEMBLEDON: Roger Federer na Rafael Nadal kupambana kwenye nusu fainali ya Wimbledon

    (GMT+08:00) 2019-07-11 14:01:20

    Roger Federer na Rafael Nadal watapambana kwenye michuano ya tenisi ya nusu fainali ya Wimbledon, ikiwa ni miaka 11 baada ya ushindi wao wa kishindo mwaka 2008 kwa wachezaji wawiliwawili ambao unachukuliwa kama ni mchezo bora kabisa kuchezwa na wawili hao kwenye fainali za Grand Slam. Bingwa mara nane Federer ameshinda mechi yake ya 100 ya michuano ya Wimbledon na kufikia nusu fainali ya 13 kwa kumshinda Mjapani Kei Nishikori kwa 4-6, 6-1, 6-4, 6-4. Federer mwenye miaka 37 atacheza nusu fainali ya major kwa mara ya 45. Naye Nadal, bingwa mara mbili, amefikia hatua ya nne bora kwa mara ya saba na mara 32 katika Grand Slams, kwa kumshinda Sam Querrey kwa 7-5, 6-2, 6-2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako