• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Palestina yasisitiza itatekeleza ahadi ya mchakato wa amani endapo mazungumzo kati yake na Marekani yatarejeshwa

  (GMT+08:00) 2019-07-12 09:02:10

  Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti kuwa, Mamlaka ya nchi hiyo imesisitiza kuwa, itatekeleza ahadi yake kuhusu mchakato wa amani ya Mashariki ya Kati kwa sharti la kuwa serikali ya Marekani itarejesha mawasiliano na nchi hiyo.

  Msemaji wa rais wa Palestina Bw. Nabil Abu Rdeineh amesema, wapalestina hawajakataa mazungumzo au makubaliano kuhusu amani kati ya Palestina na Israeli.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako