• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KARATE: Wapiganaji karate wa Rwanda wapo Burundi kwenye mashindano ya mabingwa wa Afrika

  (GMT+08:00) 2019-07-12 10:10:26

  Khalifa Niyitanga, mwenye miaka 19, na Maic Shyaka Ndutiye, miaka 18, ndio wachezaji wawili wanaoibeba bendera ya Rwanda kwenye mashindano ya 18 ya Mabingwa wa African Seniors Karate na mashindano ya 10 ya mabingwa wa African Juniors Karate yanayofanyika Gaborone, Botswana. Mashindano hayo yaliyoanza Julai 9 yataendelea hadi Julai 15 katika ukumbi wa michezo wa Chuo Kikuu cha Botswana, lakini mashindano yenyewe yanaanza leo. Makala ya 2018 ya Mabingwa wa African Seniors Karate yalifanyika Kigali katika ukumbi wa Intare. Wapiganaji hao wa Rwanda ni moto wa kuotea mbali na wanatarajiwa kwamba wataipatia nchi yao ufahari kwa mara nyingine tena.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako